mtaalamu toka shirika la maendeleo la Taifa NDC akiwalekeza viongozi akiwemo Filikunjombe mradi wa chuma Liganga unavyoendelea
Filikunjombe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Shaurimoyo ambako chuo cha VETA kitajengwa
Mkurugenzi wa VETA nchini Bw.Zebadia Moshi akitoa maelezo jinsi chuo hicho kitakavyojengwa Shaurimoyo
Mbunge wa Jimbo la Ludewa Bw.Filikunjombe akimuonesha Mkurugenzi wa VETA nchini Bw.Moshi eneo la ujenzi wa Chuo hicho
Bw.Moshi akipokea zawadi kwa wananchi wa Shaurimoyo kwa ujio wake
Bw.Moshi akikaribishwa na Filikunjombe pamoja na mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw.Juma Madaha ili aweze kuongea na wananchi wa Shaurimoyo
Bw.Moshi akipokea zawadi kwa akina mama wa Shaurimoyo
Bw.Moshi akiongea na wananchi wa Shaurimoyo kata ya Lugarawa wilayani Ludewa
Hiki ndicho chuma cha Liganga katika kata ya Mundindi kilichochukuliwa na wachina
Mlima wa chuma cha liganga kikiwa katika maandalizi ya kuchimbwa
Mkurugenzi wa VETA Taifa Bw.Moshi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa Bw.Fidelis Lumato katika kijiji cha Shaurimoyo
Mkuu wa wilaya ya Ludewa akihutubia wananchi wa shaurimoyo kuhusiana na ujenzi wa chuo hicho
Filikunjombe akiwa na Bw.Moshi katika kijiji cha shaurimoyo
Filikunjombe akiwaongoza viongozi mbalimbali katika kambi ya wachina wanaochimba migodi ya chuma katika kijiji cha Mundindi wilayani Ludewa
Mkurugenzi wa wilaya Ludewa Bw.Lumato akiwahutubia wananchi wa Shaurimoyo
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw.Juma Madaha akitoamaelezo katika eneo la ujenzi wa chuo
wananchi wakiwa wamebeba Mbuzi kwaajili ya zawadi kwa Mkurugenzi wa VETA nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment