Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

December 03, 2015

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA YA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA DEO NGALAWA AKIJINADI KWA WANANCHI

Aliyekuwa mwenyekiti wa vijana chadema wilaya ya Ludewa Bw.Endrew Njavike akiwa amebebwa juu baada ya kutangaza rasmi kukihama chama hicho na kuhamia ccm akimuunga mkono mgombea ubunge jimbo la Ludewa Bw.Deo Ngalawa
Deo Ngalawa akiwa amebebwa na wananchi wa kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa ambako ni nyumbani kwa mgombea ubunge kupitia Chadema Bw.Bathromeo Mkinga,Msambichaka





Bw.Njavike akitambulishwa rasmi kwa wananchi na katibu wa ccm wilaya ya Ludewa Bw.Lusiano Mbosa mara baada ya kuhamia ccm

Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya Lugarawa Bw.Sabinus Haule,Digala akivalishwa vazi la ccm baada ya kukihama chama hicho cha chadena na kuhamia ccm


 Dr.Suzan Kolimba akiwa amebebwa na wananchi wa kijiji cha Mavanga mara baada ya kuwasili kijijini hapo katika mikutano ya kampeni

Mhandisi Zefania Chaula akisalimiana na Bw.Deo Ngalawa mara baada ya kumnadi kwa wananchi wa kijiji cha Lugarawa

Bw.Deo Ngalawa akihutubia wananchi wa kijiji cha Ludende katika mikutano ya kampeni

Bw.Deo Ngalawa akipewa zawadi na wananchi wa Ludende
Bw.Deo Ngalawa akipewa zawadi na wananchi wa Ludende 


Bw.Njavike akiwa amebebwa na wananchi wa Mavanga mara baada ya kuhamia ccm
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Njombe Neema Mgaya akiwa na mbunge wa jimbo la Lupembe Bw.Jolam Hongoli katika mkutano wa kampeni kijiji cha Ludende wilayani Ludewa
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Njombe Dr.Suzan Kolimba akiongea na wananchi wa Ludende katika mikutano ya kampeni
Mbunge wa viti maalumu Neema Mgaya akiongea na wananchi wa Ludende

No comments: