Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

January 31, 2015

KILELE CHA KAULI MBIU YA LUDEWA BILA UCHAFU INAWEZEKANA KUTOKA BEST FM RADIO CHAFANYIKA LEO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITARI YA WILAYA YA LUDEWA


 Baadhi ya wafanyakazi wa Best fm radio wakiwa na maafisa afya wa hospitari ya wilaya ya Ludewa katika kilele cha Ludewa bila uchafu inawezekana,wafanyakzi hao wamefanya usafi katika eneo la hospitari ya wilaya
Mfamasia wa wilaya ya Ludewa akishiriki kufanya usafi wa mazingira na wafanyakazi wa radio best Fm

wafanyakazi wa best fm wakifurahi jambo katika kuhakikisha mazingira yanakuwa safi wilayani Ludewa
Mwandishi wa mtandao huu akishiriki katika kufanya usafi









Mwandishi wa mtandao huu wakiwa kazini katika kuhakikisha mazingira ya Ludewa Mjini kunakuwa na usafi

No comments: