MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 20 WA KIMATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI DUNIANI (COP 20) UNAOENDELEA JIJI LIMA NCHINI PERU
Wednesday, December 10, 2014
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wenzake wakati
walipohudhuria katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi, unaoendelea Jijini Lima nchini Peru, ambapo alizungumza kwa
niaba ya nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya
mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia
namna nchi za Afrik zilivyojizatiti katika maazimio mbalimbali
yanayolenga kunusuru majanga yatokanayo na Tabianchi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, unaoendelea Jijini Lima nchini Peru. Makamu wa Rais alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia namna nchi za Afrika zilivyojizatiti katika maazimio mbalimbali yanayolenga kunusuru majanga yatokanayo na Tabianchi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mjumbe maalum wa Marekani katika masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi, Todd Stern, baada ya kuhudhuria katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, unaoendelea Jijini Lima nchini Peru, ambapo alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia namna nchi za Afrika zilivyojizatiti katika
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiongozana na baadhi ya Mawaziri wakati wakitoka katika chumba
cha mkutano huo. Picha na OMR
Picha ya kumbukumbu na wadau wa masuala ya mazingira walipokutana katika viwanja vya kumbi hizo za mikutano. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, unaoendelea Jijini Lima nchini Peru. Makamu wa Rais alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia namna nchi za Afrika zilivyojizatiti katika maazimio mbalimbali yanayolenga kunusuru majanga yatokanayo na Tabianchi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mjumbe maalum wa Marekani katika masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi, Todd Stern, baada ya kuhudhuria katika Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, unaoendelea Jijini Lima nchini Peru, ambapo alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia namna nchi za Afrika zilivyojizatiti katika
maazimio mbalimbali yanayolenga kunusuru majanga yatokanayo na Tabianchi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akipiga picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Ujumbe wa China,
katika mkutano wa Mkutano wa 20 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi, Xie Zhenhua, wakati walipokutana kwa mazungumzo baada ya
kuhudhuria na kuhutubia katika mkutano huo unaoendelea Jijini Lima
nchini Peru, ambapo alizungumza kwa niaba ya nchi za Afrika kuhusu
utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na
mambo mengine Dkt. Bilal alizungumzia namna nchi za Afrik
zilivyojizatiti katika maazimio mbalimbali yanayolenga kunusuru majanga
yatokanayo na Tabianchi. Picha na OMRPicha ya kumbukumbu na wadau wa masuala ya mazingira walipokutana katika viwanja vya kumbi hizo za mikutano. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment