Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

October 03, 2014

HII NI MOJA YA SAFARI ZA WAJUMBE MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE NA WAGENI WAKE KUTOKA LUDEWA WALIVYOPAGAWISHWA NA MJOMBA BENDI


 Msanii Mpoto akisalimiana na  meza  kuu ya mbunge  Filikunjombe na wageni  wake
Msanii Mrisho  Mpoto  akisalimiana na mke wa  mbunge  Deo Filikunjombe  usiku  huu katika  show  iliyoandaliwa na mbunge  huyo kwa  wageni  wake  toka jimboni ,kulia ni mbunge Filikunjombe na katikati ni mbunge Kangi Lugola ambae ni rafiki mkuu wa Filikunjombe
 Madereva  wa  msafara  wa mbunge  Deo  Filikunjuombe  wakipumzisha  mwili kwa  show kali kutoka bendi ya  Mjomba usiku  wa  leo
Rafiki  mkubwa  wa mbunge  Deo Filikunjombe mbunge Kang Lugola kulia  akiwa ndani ya  nyumba  usiku  huu
Msanii Mrisho Mpoto  mkurugenzi  wa Mjomba Bend  akipiga picha na  viongozi  wa CCM kutoka  Ludewa katika  show iliyoandaliwa na mbunge  wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe usiku  huu jijini Dar es Salaam
Viongozi wa CCM kutoka  kata za  wilayaya Ludewa  wakijipongeza kwa  show kali kutoka kwa Mjomba Bendi baada ya kumaliza mafunzo ya uongozi  jijini Dar
Mkurugenzi  wa bendi ya Mjomba Mrisho  Mpoto  akicheza  na  wana Ludewa katika  show kali  iliyoandaliwa na mbunge wao  Deo Filikunjombe
Msanii Mrisho Mpoto  kulia  akisalimiana na kada wa CCM katikati ni mbunge Deo Filikunjombe
Mbunge  Deo Filikunjombe akifurahi na  wapiga kura wake  katika show kali aliyoiandaa jijini Dar usiku  huu
Mke  wa mbunge Deo Filikunjombe  Habiba Filikunjombe wa  pili katikati akicheza  sanjari na mwenyekiti wa wa UWT mkoa  wa Njombe Rosemary na  wageni  wengine  kutoka Ludewa

Mbunge  Deo Filikunjombe  kulia akipiga picha na mgeni  wake  kutoka Ludewa katikati ya  show
Furaha ya  wana  Ludewa jijini  Dar es Salaam usiku  huu
Mbunge  Filikunjombe kushoto  akifurahi  na daktari kutoka  Ludewa Bw.Osca alisekuwa akiwatibu wajumbe katika msafara huo

No comments: