
Kimbunga nchini Marekani chasababisha uharibifu mkubwa
Kimbunga kikali kimeyakumba
maeneo kadha ya Marekani, kikiharibu majengo na magari katika majimbo ya
Illinois, Indiana na Kentucky.
Idadi kubwa ya watu wanasemekana kunasa katika majengo.
Wataalam wa hali ya hewa wanasema kimbunga hicho kitaathiri watu milioni 53 katika maeneo hayo(Chanzo BBC swahili)
No comments:
Post a Comment