Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

March 02, 2013

MTOTO ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUZALIWA NA KUTUPWA PORINI

Muuguzi wz zamu katika hospitari ya wilaya ya Ludewa Bi.Eda Muhema akiwa na mtoto aliyetupwa baada ya mtoto huyo kuokotwa na kufikishwa hospitarini hapo akiwa salama
Huyu ndiye mama Magdarena Lugongo ndiye aliyemtupa mtoto wake baada ya kujifungua
 Bi.Magdarena Lugongo akiwa chini ya ulinzi katika kituo cha Polisi na mtoto wake aliyemtupa baada ya kujifungua
Bi.Magdarena Lugongo akiwa na Mgambo aliyemshika na kumfikisha kituo cha Polisi

No comments: