WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO MBALIMBALI WAKIWA NA DIWANI WA KATA YA LUPANGA KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA KAMPENI YA UPANDAJI MITI
MKUU WA WILAYA YA LUDEWA BW.JUMA MADAHA AKIWA NA MGURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA MWENYE KOFIA BW.FIDELIS LUMATO NA MWENYE NGUO ZA KIJANI NI MWENYEKITI WA HALMASHAURI MH.MATEI KONGO JANUARY 14 MWAKA HUU KATIKA UZINDUZI WA UPANDAJI MITI KATIKA KIJIJI CHA MADINDO KATA YA LUDENDE.
BW.NGAILO AKIPANDA MTI
BW.MGINA AMBAYE NI DIWANI WA KATA YA MUNDINDI AKIPANDA MTI SIKU YA KAPENI YA UPANDAJI MITI
DIWANI WA KATA YA MUNDINDI BW.MGINA AKIPANDA MTI SIKU YA UZINDUZI,PIA ALIAHIDI KUFANYA HIVYO KATIKA KATA YAKE ILI KUKABILIANA NA UKAME UNAOWEZA KUJITOKEZA KUTOKANA NA KATA YAKE KUWA NA MGODI MKUBWA WA CHUMA
AFISA UTUMISHI WA WILAYA BI.MWANO AKIWA TAYARI KWA UPANDAJI MITI
MWENYEKITI WA HALMAURI YA WILAYA YA LUDEWA NA DIWANI WA KATA YA LUILO BW.MATEI KONGO AKIPANDA MITI SIKU YA UZINDUZI
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA LUDEWA BW.FIDELIS LUMATO AKIWA KATIKA KAMPENI ZA UPANDAJI MITI
AFISA UTUMISHI WA WILAYA YA LUDEWA BI.MWANO AKIWA KATIKA KAMPENI ZA UPANDAJI MITI
AFISA ARDHI NA MALIASILI BW.GILBERT NGAILO KATIKA SHAMBA LA MITI
AFISA ARDHI NA MALIASILI WA WILAYA YA LUDEWA BW.GILBERT NGAILO AKIWA KATIKA MOJA YA SHAMBA LA MITI LINALOMILIKIWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA
MADIWANI NA WANANCHI WAKIWA KATIKA KAMPENI ZA UPANDAJI MITI
HII NI BAADHI YA MITI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA ILIYOPANDWA KATIKA KATA YA LUDENDE IKIWA INAKARIBIA KUVUNWA
AFISA ELIMU WA WILAYA YA LUDEWA BW.HYERA AKIWA KATIKA KAMPENI ZA UPANDAJI MITI
MAAFISA MISITU WILAYANI LUDEWA WAKIWA KATIKA SHAMBA LA MITI KULIA NI BW.NGAILO NA MSEMAKWELI
UBOVU WA BARABARA ULIILAZIMU KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KUTEMBEA KWA MIGUU BARABRA YA MUHOLO LUGARAWA HUKU DEREVA WA GARI HIYO AKIINASUA KATIKA TOPE
GARI YA MKUU WA WILAYA YA LUDEWA IKIWA IMEKWAMA KATIKA TOPE KUTOKANA NA UBOVU WA BARABARA MSIMU WA MVUA
MKUU WA WILAYA AKISOMA HOTUBA KATIKA UZINDUZI WA UPANDAJI MITI
MKUU WA WILAYA YA LUDEWA BW.JUMA MADAHA AKIZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI WILAYA NI LUDEWA AKIWA NA AFISA MISITU BW.OBOTE MSEMAKWELI
No comments:
Post a Comment