DC NJOMBE:MRADI WA KIJANI KIBICHI UWANUFAISHE WAKULIMA WA NJOMBE
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Amewataka Wakulima na Wataalamu wa Kilimo Wilayani Hapa Kujikita Katika Uzalishaji wa Mboga mboga na Matunda Kutokana na Kuwepo Kwa Fursa ya Soko la Bidhaa Hiyo Baada ya Kusindikwa.
Kauli Hiyo Ameitoa Wakati Akizindua Rasmi Mradi wa
Kijani Kibichi Mjini Njombe Utakaowasaidia Wakulima Kujikwamua na
Kilimo Kupitia Mboga Mboga na Matunda Mradi Ambao Umekuwa Rahisi
Kuutekeleza.
Bi.Dumba Amesema Kwa Kuwa Lengo la Mradi Huo ni Kutaka Kumnusuru Mkulima Kujikwamu na Hali Duni ya Kipato Basi Hanabudi Kutumia Kilimo Hicho Cha Mboga Mboga na Matunda Kwa Kuendesha Kwa Ubora na Ustadi Mkubwa.
Akisoma Taarifa ya Mradi Huo Katibu Mwanzilishi wa Kijani Kibichi Tanzania Michael Uhahula Amesema Kuwa Kupitia Umoja wa Mradi Huo wa Kijani Kibichi Wanaamini Watanzania Wataweza Kunufaika na Kujikwamua na Wimbi la Umasikini.
Amesema Hadi Sasa Kumekuwepo na Faida Mbalimbali Ikiwemo Wakulima Kuunganishwa na Kujenga Mtandao Wao Nje na
Ndani ya Mkoa,Kukuza Pato la Mtu Mmoja Mmoja Huku Suala la Uhaba wa Fedha na Mitazamo Hasi Miongoni Mwa Jamii Zimetajwa Kuwa ni Changamoto Katika Utekelezaji wa Mradi Huo.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Amewataka Wakulima na Wataalamu wa Kilimo Wilayani Hapa Kujikita Katika Uzalishaji wa Mboga mboga na Matunda Kutokana na Kuwepo Kwa Fursa ya Soko la Bidhaa Hiyo Baada ya Kusindikwa.
Bi.Dumba Amesema Kwa Kuwa Lengo la Mradi Huo ni Kutaka Kumnusuru Mkulima Kujikwamu na Hali Duni ya Kipato Basi Hanabudi Kutumia Kilimo Hicho Cha Mboga Mboga na Matunda Kwa Kuendesha Kwa Ubora na Ustadi Mkubwa.
Akisoma Taarifa ya Mradi Huo Katibu Mwanzilishi wa Kijani Kibichi Tanzania Michael Uhahula Amesema Kuwa Kupitia Umoja wa Mradi Huo wa Kijani Kibichi Wanaamini Watanzania Wataweza Kunufaika na Kujikwamua na Wimbi la Umasikini.
Amesema Hadi Sasa Kumekuwepo na Faida Mbalimbali Ikiwemo Wakulima Kuunganishwa na Kujenga Mtandao Wao Nje na
Ndani ya Mkoa,Kukuza Pato la Mtu Mmoja Mmoja Huku Suala la Uhaba wa Fedha na Mitazamo Hasi Miongoni Mwa Jamii Zimetajwa Kuwa ni Changamoto Katika Utekelezaji wa Mradi Huo.
No comments:
Post a Comment