Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

April 20, 2015

KARAVATI ZA BARABARA YA MACHIMBO YA MAKAA YA MAWE NCHUCHUMA ZAHARIBIWA NA MVUA

 baadhi ya karavati za kupitisha mitambo ya kwenza katika miradi ya Makaa ya mawe Nchuchuma yakiwa yamefukuliwa na mvua kumbwa zinazoendelea kunyesha wilayani Ludewa
hili ni eneo la Ludewa mjini mtaa wa Ibani ambapo kutokana na mitambo mikubwa inayotarajia kupita kwenda Nchuchuma Serikali imechepusha barabara na kujenga karavati kwa kuhofia kuharibu madaraja lakini mvua imeanza kubomoa
Habari picha

No comments: