Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

August 04, 2017

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA YA MCHEZO WA KIRAFIKI KATI YA LUDEWA FC NA NJOMBE MJI.

viongozi mbalimbali wakiwa na mbunge wajimbo la Ludewa Mh.Deo Ngalawa wakifurahi jambo
 Mh.Ngalawa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Njombe Mji na Ludewa Fc



 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mh.Ngalawa akifungua mchezo huo
  Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mh.Ngalawa akifungua mchezo huo
 Katibu wa UVCCM wilaya ya Ludewa akionesha Jezy za timu ya Njombe mji


  Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mh.Ngalawa akifungua mchezo huo
 Mh.Ngalawa akishangilia Goli la pili walilolipata Ludewa Fc dhidi ya Njombe Mji Fc
 Mh.Ngalawa akishangilia Goli la pili walilolipata Ludewa Fc dhidi ya Njombe Mji Fc




Timu ya Njombe  mji  ambayo itashiriki ligi kuu msimu huu imeibuka kidedea baada ya kuifunga timu ya Ludewa Fc goli 3 kwa 2,mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa mipra wa miguu Ludewa mjini ulihudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh.Deo Ngalawa.

Akiongea na wachezaji wa timu zote mbili pamoja na mashabiki wa pambano hilo Mh.Ngalawa alisema kuwa wilaya ya Ludewa itaiunga mkono timu ya Njombe Mjini katika mashindano mbalimbali kwani ni timu pekee katika mkoa wa Njombe inayoshiriki Ligi kuu.

Aidha aliwataka vijana wa Ludewa hasa wachezaji kushiriki mashindano mbalimbali ya mkoa ili kupata uzoefu kwani wilaya ya Ludewa inauwezo wa kutoa timu ambayo itashiriki Ligi kuku kutokana na kuwepo vipaji vingi vya soka lakini vimekusa fulsa ya kuendelezwa.

Mwisho.

No comments: