Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

February 23, 2016

MKUU WA MKOA WA NJOMBE DKT.REHEMA NCHIMBI ATEMBELEA MADARAJA YALIYOBOMOLEWA NA MVUA WILAYANI LUDEWA ASHUHUDIA UJENZI WA MADARAJA YA MUDA

Hili ni daraja mojawapo lililobomolewa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Ludewa lilijengwa mwaka 1972 hivyo imelazimika kujengwa daraja la muda ili kuunganisha wilaya ya Ludewa na wilaya ya Njombe
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt.Rehema Nchimbi akikagua daraja la muda wilayani Ludewa baada ya daraja la zamani kusombwa na mvua.

 Dkt.Nchimbi akimsikiliza mkadarasi wa ujenzi wa madara ya muda
 mashine zikifanya kazi katika ujenzi wa daraja
mkuu wa mkoa akiongea na  wataalamu wa ujenzi

No comments: