Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

December 17, 2013

WAENDESHA BODABODA JIJINI MBEYA WAFANYA UCHAGUZI NA KUPATA VIONGOZI WAPYA

  





Hapa wamejipanga tayari kwa kupiga kura

Kura zikihesabiwa





Mgeni rasmi katika uchaguzi huo Nwaka Mwakisu na ambae pia ni mlezi wa chama  cha waendesha Bodaboda jiji la Mbeya akitangaza matokeo na kuwaasa vijana hao kuacha migogoro ndani ya chama hicho badala yake wafanye kazi kwa kushirikiana na kuepuka kutumika katika vurugu na migomo isiyo na manufaa kwao jamani tuijenge Mbeya yetu


Hawa ndiyo viongozi waliyochaguliwa kutoka kushoto ni Mwenyekiti Vicent Mwashoma, anaefuatia makamu mwenyekiti  Zuberi Simony, katibu Msumba Mdesa, mtunza fedha Batromeo Mwangeni. 





Picha ya pamoja




Mwenyekiti Vicent Mwashoma  akibebwa juu kwa juu na wanachama wenzake mara baada ya kushinda uchaguzi huo

Na Mbeya yetu

No comments: