Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

December 24, 2013

SUMATRA MJINI NJOMBE YAPIGA MARUFUKU TAXI NA BAJAJI KUFANYA BIASHARA KAMA DALADALA KUANZIA DEC 22













Agizo hilo limetolewa na Afisa Mfawidhi SUMATRA Mkoa wa Njombe Bi.Mery Msangi kwenye kikao Kilichowakutanisha Wamiliki wa Daladala,taxi,Bodaboda na Bajaji Kilichofanyika Katika Ukumbi wa Turbo Mjini Njombe

Hatua Hiyo Imekuja Kufuatia Malalamiko ya muda mrefu ya wamiliki na madereva wa Daladala kudai kuwa wanashindwa kufanya biashara kutokana na vyombo vingine vya usafi kupakia abiria kinyume na sheria

No comments: