Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

December 19, 2013

KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA


Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Bw. Emanuel Mteming'ombe enzi za uhai wake akiwa katika majukumu ya kazi
 Waombolezaji  wakishusha jeneza  la kuuweka mwili wa katibu wa CCM mkoa wa Iringa
 
Hili ndilo jeneza ambalo mwili wa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa marehemu Emanuel Mteming'ombe utawekwa

Mwili  huo  unataraji  kuombewa  katika kanisa la RC kichangani ama nyumbani kwake Gangilonga mjini Iringa kabla ya  kuondoka mida ya saa 10  jioni kwenda Rujewa Mbarali mkoa  wa Mbeya kwa mazishi yatakayofanyika  kesho  saa 5 asubuhi 

katibu  huyo alifariki dunia majira ya saa 8 hivi  usiku  wa Desemba 19 usiku  wa leo baada ya kulazwa katika Hospital ya  Rufaa ya mkoa  wa Iringa kwa tatizo  la figo na Athima 

Mungu ailaze  roho  yake mahali pema peponi Amina
 

No comments: