Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

December 24, 2013

TUNAWATAKIA HERI YA X MAS NA MWAKA MPYA WASOMAJI WA MTANDAO HUU MUNGU AWABARIKI

Mtandao wa www.habariludewa.blogsport.com unawatakia heri ya X Mas na Mwaka mpya wasomaji wote.
 tunawaomba muendelee kuutembelea mtandao huu kwa kupata habari mbalimbali za ndani ya wilaya ya Ludewa na Nje ya Ludewa,pia tunawashukuru wale wote waliotukosoa pale tulipokosea kwani kukosolewa ni kujifunza.
 Mungu awabariki tuendelee kuungana pamoja katika habari na matukio mbalimbali pia tarajia kupata vitu vipya mwaka 2014 Ahsante

No comments: