Mwandishi wa mtandaoBw.Nickson Mahundi akifurahi jambo katika ziara ya Filikunjombe ziara hiyo ilifanyika hivi karibuni katika kata za mwambao wa ziwa nyasa wilayani Ludewa kwa kutumia usafiri wa boti.
January 04, 2013
ZIARA YA FILIKUNJOMBE YAIBUA MENGI
Filikunjombe akikata utepe katika ziara yake kijiji cha Ludende
katibu wa mbunge wa jimbo la Ludewa Bw.Stanrey Gowele akiwaeleza jambo waandishi wa habari ndani ya boti kushoto ni Festus Pangani mtangazaji wa kituo cha radio cha Best FM kilichoko Ludewa mjini katikati ni mwandishi wa mtandao huu Bw.Nickson Mahundi,picha ya juu ni Mbunge Filikunjombe akigawa vifaa vya michezo kwa vijana wa kijiji cha ndoa kata ya Makonde.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment