Sara Filikunjombe ambaye ni mke wa Mbunge Filikunjombe akigawa chakula kwa wagonjwa katika hospitali ya Lugarawa
Filikunjombe akiinama kwa uchungu baada ya mtoto mwenye ugonjwa wa kifafa kuimba wimbo uliomhuzunisha
Filikunjombe akifuatilia misa katika kanisa la Lugarawa
mbunge Deo Filikunjombe akisisitiza jambo kwa waumini ambapo alisisitiza wananchi kukemea ukabili na kuikata mizizi ya ukabila ambayo inaweza kuleta ubaguzi miongoni mwa wananchi wa wilaya ya Ludewa
Filikunjombe akiongea na wagonjwa hospitali ya Lugarawa ambapo alikula nao chakula cha mchana ili kuwafariji
familia ya mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe wakitoka kusali katika sherehe ya X mas katika kanisa katoliki la Lugarawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment