Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

November 24, 2012

SHIRIKA LA DARAJA LAFANYA UTAFITI KATIKA HUDUMA ZA AFYA MIKOA YA NJOMBE NA IRINGA

wadau wa afya wakiwa katika kikao kilichozikutanisha zahanati nne wilayani ludewa ikiwa ni mpango wa shirika la daraja kupitia watu wa marekani katika utafiti wa huduma za afya wilayani Ludewa.
mganga mkuu wa wilaya ya Ludewa Dakt.Ndossi akifungua kikao hicho wilayani Ludewa
mmoja wa wajumbe wa mkutano huo akichangia mada ya ucheleweshaji wa dawa katika vituo vya afya
mmoja wa wafanyakazi wa shirika la DARAJA Bi.Lilian Mkusa akiendelea kutoa mada kawa wajumbe
dkt Ndossi akisisitija jambo katika kikao hicho
wajumbe wakiwa makini katika kusikiliza mpango huo wa utafiti katika huduma za Afya unaosimamiwa na shirika la Daraja

No comments: