mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Ludewa Bw.Fidelis Lumato akiwatia moyo waombolezaji na kuwatakia safari njema wasindikizaji wa msiba huo
baadhi ya wafanyakazi wenzake wa Hospitari ya wilaya ya Ludewa ambako alikuwa akifanya kazi wakisubiri kulipokea jeneza lililobeba mwili wake
mwili wa Dr.Gama ukiagwa na ndugu na jamaa nyumbani kwake mtaa wa mkondachi wilayani Ludewa ukiwa tayari kwa kusafirishwa kupelekwa kijijini kwake Liuli.Dr.Gama alifariki ghafra baada ya kuanguka uwanjani akiwa mwamuzi wa mchezo kati ya timu ya vetelan na vijana stars zote za Ludewa mjini na kupoteza maisha.
mwaombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Dr.Jonathani Gama aliyeanguka uwanjani na kuwa akiwa mwambunzi ligi dara la tatu juu mwili wa Dr.Gama ukiwalisi nyumbani kwake
No comments:
Post a Comment