Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

November 24, 2012

MACHIMBO YA CHUMA CHA LIGANGA NDIO MKOMBOZI WA MAISHA YA MWANA LUDEWA KWA SIKU ZA USONI

ujue utajiri wa nchi yetu ulioko wilayani Ludewa ikiwa ni chuma kilichopo Liganga kinachotarajia kubadiri maisha ya wana Ludewa
Utajiri wa chuma Liganga ulioko wilayani Ludewa ambapo kampuni ya MMI LTD na Ile ya Wachina ndio watakaochimba chuma hicho
kwa mbali unaweza ukaona kama ni mlima tu wenye mawe lakini hicho ndicho chuma kinachotarajia kuiinua tTanzania kiuchumi

No comments: