Hii ndio misitu ya kata ya Nkomang'ombe kuelekea Kata ya Luilo ambako wanapatikana Nyani wa kubwa
Ludewa ni wilaya mojawapo nchini iliyojariwa kwa vivutio vya utalii.eneo hili ndko madini ya Makaa ya mawe yanapatikana lakini kuna wanyamapoli ambapo nilipata kukutana na kundi kubwa la Nyani wakubwa
Karibu Ludewa ujionee mambo mengi usiyayajua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment