Katibu wa kampuni ya Decision Foundation
Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wilaya ya Ludewa Bw.Donota Mgeni
wajasiliamali wakifuatilia mafunzo
Mbunge wa jimbo la Ludewa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)
Mh.Deo Filikunjombe ametoa ufadhiri wa kuitafuta kampuni ya mafunzo ya
ujasiliamali iitwayo decision Foundation ambayo imetoa mafunzo ya ujasiliamali
kwa wajasiliamali wapatao 15 ili kuwapatia ujuzi wa kibiashara utakaoendana na
soko la kibiashara katika migodi ya madini ya Chuma na Liganga inayotarajia
kuanzishwa wilayani hapa.
Akifunga mafunzo hayo Filikunjombe aliwataka wajasiliamali
hao kuchangamkia Fulsa za biashara ambazo zinatarajia kupatika hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment