Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

March 25, 2015

FILIKUNJOMBE AWA KIVUTIO KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI LUDEWA

 Deo Filikunjombe amekuwa na wakati mgumu anapopita maeneo ya shule ya msingi Ludewa mjini kutokana na wanafunzi kulizuia gari yake na kulazimika kushuka na kuongea nao kutokana na kuizisaidia shule nyingi wilayani Ludewa katika ujenzi wa madarasa na kutoa vifaa vya michezo


Filikunjombe akishangiliwa na wanafunzi wa shule ya msingi Ludewa mjini wakati alipopita kwa miguu maeneo ya shule hiyo.




No comments: