Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

November 17, 2013

DEREVA WA BODABODA KITUO CHA SANGAMELA NJOMBE ADAIWA KUTEKWA NA KUUAWA.








Hawa ni Baadhi ya Madereva wa Bodaboda Mjini Njombe Ambao Walifanya Maandamano ya Kwenda Kumtafuta Dereva Mwenzao na Kukutwa Amefariki Dunia Baada ya Kudaiwa Kutekwa Tangu Wiki Iliyopita.

Taarifa za Awali Toka Kwa Mmiliki wa Pikipiki Hiyo Bwana Justo Ngilangwa Mkazi wa Mtaa wa Kambalage Mjini Njombe Alisema kuwa Kijana Wake wa Kazi Aliyekuwa Akiendesha Pikipiki Yake Kama Bodaboda Aliyefahamika kwa Jina la Enock Kihindo Mwenye Umri wa Miaka 20 Alitoweka Katika Mazingira ya Kutatanisha Akidaiwa Anampeleka Mteja Huko Katika Kijiji cha Yakobi Ambako Mwili Wake Umekutwa.


Hivyo Kutokana na Tukio Hilo Madere Wenzeke Kutoka Mjini Njombe Ndipo Walipochukua Hatua za Kumtafuta na Kisha Kuukuta Mwili Wake Huko Yakobi Ambako Ndiko Nyumbani Kwao Ukiwa Umetelekezwa.


No comments: