moja ya zawadi za ng'ombe alizozitoa Filikunjombe kila kata kwa washindi wa kwanza katika mashindano ya mpira wa miguu,jumla ya kata 25 zilipata zawadi hizo
Filikunjombe akijaribu kuendesha boti katika ziara zake
safu ya milima livingstone iliyoko wilaya ya Ludewa
Jengo la nyumba ya mwalimu katika shule ya msingi Nkanda ambalo ni miaka mitatu sasa halijamalizika kutokana na usimamizi mbovu wa mwalimu mkuu wa shule hiyo
Filikunjombe akikagua jengo la zahanati katika kijiji cha nkanda katika moja ya ziara zake
miamba pembezoni mwa ziwa nyasa
safu ya milima ya livingstone iliyoko mwambao wa ziwa nyasa
miamba iliyoko kata ya Lumbila ambako kihistoria ni wilaya ya kwanza kwa wakoloni iko wilaya ya Ludewa
.vyoo vya shule ya msingi Chanjale wilayani Ludewa
miamba ambayo ni vivutio kwa watalii wilayani ludewa mwambao wa ziwa nyasa
Hii ni moja ya miamba inayopatikana ziwa nyasa ambayo ni vivutio vya watalii,maeneo haya ni mazalia ya samaki ambapo wavuvi wengi hupenda kuvua kutokana na upatikanaji mkubwa wa kila aina ya samaki.
No comments:
Post a Comment