Mganga mkuu wa wilaya ya Ludewa Dr.Ndossi akiwaeleza waandishi wa habari ofisini kwake juu ya ufinyu wa chumba cha kuhifandia maiti katika hospitari ya wilaya ya Ludewa
Mganga mkuu msaidizi Dr.Kaoza akiwaelekeza waandishi wa habari kuhusiana na ufinyu wa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitari ya wilaya ya ludewa na singi linaloonekana ni sehemu pekee ya kuoshea maiti katika chumba hicho
sehemu pekee ya kuoshea maiti katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitari ya wilaya ya Ludewa
Nyumba ya kuhifadhia maiti wilayani Ludewa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment