Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

October 28, 2012

ONANA NA EBI CONSULTING LTD KWA MAMBO MBALIMBALI


JE, UNATAKA KUANZISHA BIASHARA? UNA BIASHARA LAKINI HAIKUI?  UNATAKA KUENDESHA BIASHARA YAKO KWA FAIDA?
Wasiliana nasi tukupe mbinu za kuanzisha na kukuza biashara yako.
EBI Consulting Ltd ni wataalamu waliobobea katika kusaidia wajasiriamali. Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu wa biashara kwa wanaotaka kuanzisha na wenye biashara endelevu. Tunashauri, tunatoa mafunzo, tunaandika miradi ya biashara na kuunganisha wajasiriamali na mitandao ya biashara. Tunakusaidia  kufanikisha wazo lako la biashara. Tumeshawasaidia wajasiriamali zaidi ya 250 nchini Tanzania tangu mwaka 2010 na wamefanikiwa kuanzisha na kukuza biashara zao. Tunakuhudumia bila kujali umbali uliko.             Wasiliana nasi sasa!
HUDUMA ZETU:

1.0. KWA WANAOTAKA KUANZISHA  BIASHARA
·         Kuunda  wazo la biashara
·         Kufanya utafiti wa soko                     
·         Kuandaa Mchanganuo wa Biashara
·         Kusajili biashara yako
·         Jinsi ya kuanzisha biashara
·         Mbinu za kupata masoko
·         Mbinu za kutoa huduma bora kwa wateja
·         Jinsi ya kuunda kampuni
·         Tunaandika Memorandum za makampuni
·         Ushauri jinsi ya kukopa kwa faida
·         Tunashauri jinsi ya kuandaa mpango wa masoko
·         Mafunzo ya ujasiriamali
·         Tunatoa CLINIC ya biashara

2.0.  KWA WENYE BIASHARA:
·         Mbinu za kukuza biashara
·         Jinsi ya kupata fursa za biashara
·         Ubunifu katika biashara
·         Mbinu za kusimamia biashara
·         Mbinu za kukuza masoko
·         Jinsi ya Kujenga mtandao wa kijasiriamali na masoko
·         Jinsi ya kupata wafanyakazi bora
·         Jinsi ya kusimamia wafanyakazi
·         Mipango ya kupata mtaji



3.0. MAFUNZO MAALUMU YA   UJASIRIAMALI
·         Ujasiriamali kwa vijana (Youth Entrepreneurship-ILO, KAB).
·         Ujasiriamali kwa Wasanii (Entrepreneurship skills for artists)
·         Ujasiriamali kwa Akina mama (Women Entrepreneurship capacity building).
·         Ujasiriamali kwa NGO (Social Entrepreneurship)
4.0. KUJENGEA UWEZO BIASHARA NA ASASI   (NGOs/CBOs)
·         Tunaandika wasifu wa biashara (Business/Company profile)
·         Mpango Mkakati (Strategic Plan)
·         Tunaandika ANDIKO la Mradi(Project write up)
·         MAANDIKO ya ZABUNI (Tender documents)
·         Kuunda vikundi (group mobilization)
·         Tunaandika katiba za NGO
·         Kurasimisha biashara na vikundi vya wajasiriamali
·         Mafunzo ya uongozi na Utawala bora kwa wenye biashara na NGO
·         Tunasaidia kuandaa ripoti mbali mbali

EBI CONSULTING LTD
SINZA-KUMEKUCHA, KARIBU NA FINE TRAVELER HOTEL, SIMU: 022 2461761:
0714 313139, 0753 393006, 0783 056066
Barua pepe:     info@ebiconsulttz.com
Tovuti:              www.ebiconsulttz.com

No comments: