Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

October 28, 2012

BWANA SIMON SIMON WINEGERA ANATARAJIA KUFUNGA NDOA NA MKE WAKE MPENDWA BI.ANSILA ONESMO MSACK TAREHE 3/11/2012 KATIKA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI NA PWANI USHARIKA WA WAILESI TEMEKE NA KUFUATIWA NA SHEREHE KATIKA UKUMBI WA NATIONAL STADIUM TEMEKE MNAKARIBISHWA WADAU WOTE

BWANA SIMON AKIWA NA MKE WAKE MTARAJIEA BI.ANSILA
KWA WALE WALIOSOMA LUDEWA SEKONDARI NA TECU MBEYA WANAMKUMBUKA BW.SIMON SIMON NI BWANA HARUSI MTARAJIWA KWA SASA
BIBI HARUSI MTARAJIWA BI ANSILA ONESMO
SIMON SIMON au SIMON WINOGELA MWENYEJI WA KIJIJI CHA LIFUMA MWAMBAO WA ZIWA NYASA AKIWA TAYALI KWA MAANDALIZI YA HARUSI YAKE ITAKYOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
MKE MTARAJIWA WA SIMON SIMON BI ANSILA ONESMO MSACK AKIWA KATIKA POZI LAKE

3 comments:

gowele ludewa said...

waoooooooo!!!!!!!!!!!!!!!! shemeji karibu xana kwetu, fill at home. tunawatakia maandalizi meeeeeema na MUNGU awabariki ninyi nyote katika maisha yenu!

gowele ludewa said...

hongera!!!!!!!!!!!!!!!!

gowele ludewa said...

waoooooooo!!!!!!!!!!!!!!!! shemeji karibu xana kwetu, fill at home. tunawatakia maandalizi meeeeeema na MUNGU awabariki ninyi nyote katika maisha yenu!