baadhi ya wanafunzi wa NICOPOLIS ACADEMY na LUDEWA EDUCATION CENTER

Baadhi ya viongozi wa NICOPOLIS ACADEMY NA LUDEWA EDUCATION CENTER
Nicopolis Academy na Ludewa Education Center wamezamilia kukuza kiwango cha elimu wilayani Ludewa kwa kuanzisha masomo ya ziada kwa watoto yenye kutozwa gharama nafuu msimu huu wa Likizo,hivyo kuwafanya wazazi wilayani hapa kuanza kuelewa nini maana ya elimu.
Akiongea na wanahabari ofisini kwake msimamizi wa vituo hivyo Bw.Augustino Mwinuka alisema kuwa awali kulikuwa na ugumu wa wazazi kuelewa nini malengo ya vituo hivyo lakini kwa sasa ni idadi kubwa ya wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari wamejiunga hivyo kuwafanya walimu kufanya kazi muda mwingi tofauti na awali.
Aidha alisema kuwa lengo la vituo hivyo ni kuboresha elimu wilayani Ludewa tofauti na miaka ya Nyuma kwani kwa kufanya hivyo imeonekana dhahiri miaka ya nyuma hawakutokea vijana waliokuwa na mawazo ya kuanzisha vituo hivyo na kuwaelimisha wazazi nini maana ya elimu.
No comments:
Post a Comment