Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

April 17, 2015

Habari picha za ajali ya gari iliyoua 19 Mbeya leo.

ajali MbeyaAjali za Tanzania kwenye vichwa vya habari zimezidi kuongezeka, leo April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.

Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema waliofariki mpaka sasa ni 19.
ajali 2 
ajali 3 Ajali 4

No comments: