BREAKING NEEWS................AJALI MBAYA PIKIPIKI ZAGONGANA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO MTAA WA KILIMAHEWA LUDEWA MJINI fuatilia katika habari Ludewa blog kwa habari zaidi
Ajali kubwa imetokea maeneo ya kilimahewa Ludewa mjini na kusababisha kipo cha mpendwa wetu Luka Mhagama maarufu kwa jina la Danganya jana jioni baada ya pikipiki mbili kugongana uso kwa uso eneo hili.
Marehemu Danganya aliwahi kuwa mwenyekiti wa kitongoji cha kilamahewa kabla ya hapo alikuwa mlinzi wa shirikala la IDYDC katika ofisi zilizoko Ludewa mjini mpaka sana alikuwa anajishughurisha na miradi yake ya ufugaji na mashine za kusaga katika mtaa huo.
Endelea kutembelea mtandao wetu kwa habari zaidi
April 14, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment